Shop for Rent in Kijitonyama, Dar Es Salaam

Amenities
Description
📍 Kijitonyama – Frem Inapangishwa
Unatafuta eneo bora la biashara? Hii hapa fursa yako!
✨ Frem nzuri sana ipo sehemu yenye mzunguko mkubwa wa watu
✨ Inafaa kwa biashara mbalimbali
✨ Umeme wa kujitegemea – hakuna usumbufu
✨ Parking space ipo – urahisi kwa wateja wako
✨ Mazingira mazuri na salama kwa biashara
đź’° Bei: 650,000/= kwa mwezi
đź’µ Service Charge: 30,000/=
📞 Wahi sasa! Piga simu: 0787093748















