Shop for Rent in Kijitonyama, Dar Es Salaam

Amenities
Description
FREM INAPANGISHWA – KIJITONYAMA 📍
Bei: 1,400,000/= kwa mwezi
Service Charge: 30,000/=
Frem kubwa sana ya kisasa, ipo mfumo wa moja kwa mbili na inatazama moja kwa moja barabarani. Location ni safi sana kwa biashara yoyote kutokana na muonekano wake na sehemu ilipo.
✔️ Frem kubwa yenye space ya kutosha
✔️ Mfumo wa moja kwa mbili
✔️ Inatazama lami
✔️ Eneo bora sana kwa biashara
✔️ Biashara yeyote ruksa
Kwa mawasiliano zaidi:
📞 Call 0787093748















