Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam
Amenities
Description
π₯ FREM KUBWA INAPANGISHWA β SINZA π₯
Unatafuta eneo bora la kuendesha biashara yako? Hii ndiyo nafasi sahihi!
β
Frem kubwa sana
β
Location kali na yenye mzunguko mkubwa wa biashara
β
Ipo sehemu nzuri mno ya biashara
β
Inajitegemea umeme
β
Parking ya kutosha kwa wateja na wafanyakazi
β
Inafaa kwa biashara mbalimbali, showroom, office au huduma nyingine za kibiashara
π° Kodi: TSh 500,000/= kwa mwezi
π΅ Service Charge: TSh 30,000/=
π Wahi kupiga simu sasa:
Usikose nafasi hii adimu ya kuweka biashara yako kwenye eneo lenye fursa kubwa ya wateja!
#FremInapangishwa #Sinza #BiasharaDar #ShopForRent #OfficeSpace DarEsSalaam















