Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Amenities
Description
📍FREM INAPANGISHWA -🔥SINZA
✅INATIZAMA LAMI Shekilango Road
💰 kodi 1,000,000\= kwa mwezi Miezi 6
💵Service charge 30,000\=
👉Inafaa supermarket ndogo, salon &spa , boutique, ofisi, au biashara yoyote inayohitaji eneo pana
✅Eneo zuri lenye mzunguko mkubwa wa watu
✅Rahisi kuonekana na wateja
✅Mazingira salama nayakibiashara
Wasiliana nami 0685303121
Wahi sasa nafasi ! kama hii hazikai muda mrefu















