Shop for Rent in Sinza, Dar Es Salaam

Description
📍 FREM INAPANGISHWA – SINZA
Unatafuta frem kubwa kwa ajili ya biashara yako? Hii ndiyo nafasi sahihi!
✅ Bei: TZS 600,000/= kwa mwezi
✅ Frem kubwa na yenye nafasi ya kutosha
✅ Ipo mtaa mzuri sana wa biashara
✅ Inafaa kwa biashara yoyote
✅ Eneo lina mazingira mazuri na wateja wa kutosha
💰 Service Charge: TZS 30,000/=
📞 Call: 0787093748 kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona.















