Search

Residential/Commercial Plots for Sale in Mbezi Mwisho, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 37,000,000

Description

Viwanja vizuri sanaa vikubwa mkeka kabisa akuna kuchimba hapo bei milioni 37 maongezi kwa milioni 35 maongezi mbio zako tu ndugu mteja

Viwanja vinaukubwa wa square 564 kwa 466 kwa 575 kwa 518 kwa 467 kwa 533

Viwanja vinafaa kujenga apartments za biashara au makazi binafsi or kanisa shule logg nk:

Viwanja vipo mbezi mwisho karbu na stend ya mkoa km 1.boda 1000

Viwanja vimepiwa vinadocomert za mauziano kutoka widhara ya aridhi na serikali za mtaa

Wai ndugu mteja viwanja vya karbu na mjini avikai

PIGA SIMU TWENDE SAITI

O719969102