Search

Residential Plots for Sale in Buyuni Mti Mweupe, Dar Es Salaam

video thumbnail
Sh. 17,000/sqm

Description

โœจ๐Ÿก KILA HATUA YA MAFANIKIO HUANZA NA UAMUZI MMOJA SAHIHIโ€ฆ ๐Ÿกโœจ
Watu wengi wana ndoto za maisha mazuri, nyumba nzuri na uwekezaji wenye faida, lakini wachache ndiyo huchukua hatua mapema. Leo hii unaweza kuwa sehemu ya watu wanaojiandaa kuishi maisha yenye uhakika wa kesho kwa kumiliki ardhi eneo lenye maendeleo makubwa. ๐ŸŒ๐Ÿ“
Ardhi ni mali ambayo thamani yake huongezeka kila siku. Ukiamua leo kuwekeza, kesho utajivunia maamuzi yako. Usisubiri mpaka maeneo yajengwe kabisa ndipo uanze kutafuta kiwanja kwa bei kubwa. Huu ndiyo muda sahihi wa kujenga msingi wa mafanikio yako na familia yako. ๐Ÿ˜๏ธ๐Ÿ”‘
Kupitia mfumo rahisi wa malipo, sasa unaweza kutimiza ndoto zako taratibu bila presha. Kidogo unachowekeza leo kinaweza kuwa chanzo cha mafanikio makubwa kesho. Fanya maamuzi yatakayobadilisha maisha yako, miliki kiwanja chako na anza safari ya mafanikio mapya. ๐ŸŒŸ๐Ÿ’ซ ๐Ÿ“ BUYUNI (MTI MWEUPE), Kigamboni โ€“ Dar es Salaam
โœ” Km 2 kutoka Baharini
โœ” Km 1 kutoka Barabara kuu
๐Ÿ’ฐ Bei Maalum:
โ€ข Tsh 17,000 kwa mita ya mraba (Cash)
โ€ข Tsh 19,000 kwa mita ya mraba (Installment)
โœ” Malipo kwa awamu hadi miezi 24
๐Ÿ“ž+255 748 303 601
Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na ratiba ya kutembelea site.
Karibu uwe sehemu ya wawekezaji wenye maono makubwa! ๐Ÿšœโœจ
#ArdhiKibubu #TimizaMalengo #RealEstateTZ #ViwanjaVyaBeiNafuu #Kigamboni Buyuni Uwekezaji LandInvestment DarEsSalaam