Search

Plots for sale in Kerege Kilemela, Pwani sqm 400

video thumbnail
Kerege, Pwani
1 month ago
Sh. 9,000,000

Plot Size

400 SQM

Nearest Road

2.5km

Amenities

Description

Mnaoniulizia viwanja vya bei nafuu ndugu zangu hivi hapa. Tsh mil 9 tu unapata kiwanja kilichopimwa na hati miliki bure.
Location: Vipo Kerege kilemela. Kilometa 2.5 pekee toka lami.

Ukubwa: vinaanzia SQM 400 mpaka 500 vyote bei moja ni kuwahi kwako ndo kutakupa nafasi kubwa ya kuchagua.

Piga simu 0789 100 100 ukihitaji au tembelea ofisi za @vijana_realestate zilizopo Tegeta Azania CHIEF HOUSE ghorofa ya kwanza

Similar properties in Kerege, Pwani