Plots for sale in Kerege, Pwani sqm 800
ID: 260819W6A83




Kerege, Pwani
21 days ago
Sh. 25,000/sqm
Plot Size
800 SQM
Installment
Available
Amenities
Surveyed Land
Near Paved Road
Description
Kerege Industrial Park ni eneo lenye nafasi ya kukua, kuwekeza na kujenga kesho.
Iwe ni kwa makazi, biashara au viwanda, hapa ndipo uwekezaji wako unaweza kuanzia. Viwanja vimepimwa, vina beacon na vinapatikana katika eneo lenye fursa kubwa ya maendeleo.
π Kerege, Bagamoyo pembezoni mwa Barabara ya Bagamoyo. TZS 25,000 kwa sqm
Viwanja kuanzia 800 sqm
Lipa kidogo kidogo, miliki eneo lako leo.
π | |
#citilandsolutions #keregeindustrialpark #viwanja #realestate #uwekezaji












