Residential Plots for Sale in Kibada, Dar Es Salaam (750 sqm)

video thumbnail
Sh. 350,000,000

Type

Residential Plot

Plot Size

750 SQM

Amenities

Title Deed
Surveyed Land
Near Paved Road
Near Road
Water

Description

🏡 VIWANJA 10 VINAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA (MIKWAMBE)

📍 Location: Kigamboni – KIBADA, Mtaa wa Mikwambe
🛣️ Karibu sana na barabara ya lami

💥 DETAILS ZA VIWANJA:
• Viwanja 10 vinauzwa pamoja 🏘️
• Kila kiwanja: SQM 750 📏
• Vimepimwa na vina hati ya wizara 📄
• Vinafikika vizuri sana 🚗
• Vinapakana na barabara 3 kubwa 🛣️
• Eneo limepangika na linachangamka 🔥
• Maji na huduma muhimu vinapatikana 💧

🔥 FAIDA KUBWA:
• Bei ya eneo hili kawaida: 50M+ kwa kiwanja ❌
• Unapata kwa bei ya chini kabisa (throw price) ✅
• Perfect kwa real estate investment 💼
• Unaweza kuuza kimoja kimoja ukapata faida kubwa 💰

💰 BEI YA JUMLA:
👉 Milioni 350 (mazungumzo yapo)
📊 Average: ~Milioni 35 kwa kiwanja

⚡ Hii ni deal ya haraka sana – usichelewe!

💸 Service Charge: Tsh 30,000
📞 Call/WhatsApp: +255 746 407 197



#dalali #dalalikigamboni #dalaliviwanja #plotsforsale
#kigamboni mtambao mikwambe dar es salaam
landforsale realestatetz investmentopportunity
viwanjavinaouzawa chatgpthousesforrent googlebesthouseforrent