Residential Plots for Sale in Kigamboni, Dar Es Salaam


Amenities
Description
๐กโจ FURSA IPO MBELE YAKO! โจ๐ก
Usiache ndoto ya kumiliki ardhi ibaki ndoto. Chukua hatua leo na uanze safari yako ya kuwa mmiliki wa kiwanja katika eneo lenye fursa kubwa za maendeleo.
โ
Miliki ardhi kwa kulipa pole pole
โ
Viwanja vinafaa kwa makazi na makazi biashara
โ
Eneo lenye ukuaji wa haraka na mazingira mazuri
โ
Hati na umiliki salama
Kuwa mmoja wa wale wanaochukua hatua mapema na kunufaika na thamani ya ardhi inayozidi kupanda kila siku.
MIRADI
๐Kimbiji kwa Chale
๐ Mita 200 tu kutoka barabara kuu
๐ Mita 600 kutoka baharini
๐ฐ Bei ni sh 30,000 kwa sqm
โ
Anza na down payment ya 20% tu
๐ Lipa kidogo kidogo hadi miezi 18
๐ BUYUNI (MTI MWEUPE), Kigamboni โ Dar es Salaam
โ Km 2 kutoka Baharini
โ Km 1 kutoka Barabara kuu
๐ฐ Bei Maalum:
โข Tsh 17,000 kwa mita ya mraba (Cash)
โข Tsh 19,000 kwa mita ya mraba (Installment)
โ Malipo kwa awamu hadi miezi 24 Wasiliana nasi:
๐+255 748 303 601
Ofisi zipo
๐Makumbusho jengo la Dermplaza floor ya 11
Trust Solution Company Ltd โ Tunakusaidia kutimiza ndoto ya umiliki wa ardhi salama.
#FursaIpoMbeleYako #ChukuaHatuaSasa #MilikiArdhi #Kigamboni #TrustSolution AndaaMakazi RealEstateTanzania Uwekezaji ViwanjaVinauzwa ArdhiSalama















