Plots for sale at Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1

Description

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517

👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zinazotambulika na wizara ya ardhi

👉🏽2.Km toka Barabara kubwa ya mwembemdogo iliyo chini ya Tarura iliyo kwemye mpango wa Lami.

👉🏽Good neighborhood (majirani watu wa bandari TPA).kiufupi ni mji wa kishua.

👉🏽Huduma za kijamii zipo,uzuri ni kwamba hapa ukichimba kisima kina kigupi maji ni ya baridiiiiiiiiiii hakuna chumvi kabisa.

👉🏽Bei elekezi hapa tumesusa kwa ;-
Malipo ya cash: 18,000/=
Malipo ya installment :20,000/=

👉🏽Site visit ni bureeee kabisa na ni kila siku .

👉🏽Uzuri ni kwamba kwetu sisi Hatimiliki ni uhakika na kwa haraka.

TUNAPATIKANA MWENGE-BAMAGA JENGO LA DORA TOWER 4th FLOOR

AU TUPIGIE KWA NAMBA 0767053517