Search

Plots for sale in Kigamboni, Kibada, Dar Es Salaam sqm 1000

video thumbnail
Sh. 55,000,000

Plot Size

1000 SQM

Nearest Road

700m

Amenities

Description

🔥 VIWANJA VINAUZWA – KIGAMBONI, KIBADA, DAR ES SALAAM! 🔥

Fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja kikubwa katika eneo lenye maendeleo makubwa. Vimebaki viwanja viwili (2) tu!

📍 Mahali: Kigamboni, Kibada – Dar es Salaam
✅ Ukubwa: SQM 1,000 kila kiwanja
✅ Hali ya umiliki: Vimepimwa na vina Hati ya Risasi
✅ Bei: TSh Milioni 55 tu kwa kila kiwanja (mazungumzo yapo)

Faida za eneo:
✔️ Mita 700 tu kutoka barabara ya lami
✔️ Mtaa umejengeka vizuri na unaendelea kukua kwa kasi
✔️ Karibu na umeme, maji, shule na huduma nyingine muhimu za kijamii
✔️ Kinafaa kwa makazi, biashara au uwekezaji wa muda mrefu.

💥 Kwa ukubwa wa SQM 1,000 na bei ya TSh Milioni 55, hii ni fursa adimu katika eneo la Kigamboni.

👉 Unaweza kununua kiwanja kimoja au kuchukua viwanja vyote viwili kwa makubaliano mazuri ya bei.

📞 Wasiliana nasi sasa kupanga kwenda kuviona kabla havijauzwa!

💰 Service Charge: TSh 30,000

📱 Instagram: @dalali_kigamboni_plots_forsale

#creatorsearchinsights #dalalikigamboni #dalalidaressalaam #dalalinyumbaviwanja #realestateapartment Kigamboni Kibada Viwanja DarEsSalaam Investment