Residential Plots for Sale in Kimbiji, Dar Es Salaam


Amenities
Description
Mwanamke mwenye mawazo mapana anatambua kuwa maisha bora hayaendi kwa bahati… yanajengwa kwa maamuzi sahihi! 💡✨
Kumiliki ardhi salama ni hatua muhimu ya kuhakikisha kesho yako inakuwa imara, yenye uhakika na mafanikio ya kudumu 🏡🌿
Fikiria ukiwa na kiwanja chako – unajenga nyumba ya ndoto zako, unaweka bustani nzuri kwa ajili ya mapumziko ya familia, na hata kuanzisha miradi mingine ya kukuingizia kipato. Hii siyo ndoto tu, ni uhalisia unaoweza kuanza leo!
Mwanamke jasiri haogopi kuanza, hata kama ni kidogo kidogo… anaelewa thamani ya uwekezaji wa muda mrefu na anaamua kuchukua hatua sasa 💪💚 Mradi
📌Kimbiji kwa Chale
📍 Mita 200 tu kutoka barabara kuu
🌊 Mita 600 kutoka baharini
💰 Bei ni sh 30,000 kwa sqm
✅ Anza na down payment ya 20% tu
📆 Lipa kidogo kidogo hadi miezi 18
📍 BUYUNI (MTI MWEUPE), Kigamboni – Dar es Salaam
✔ Km 2 kutoka Baharini
✔ Km 1 kutoka Barabara kuu
💰 Bei Maalum:
• Tsh 17,000 kwa mita ya mraba (Cash)
• Tsh 19,000 kwa mita ya mraba (Installment)
✔ Malipo kwa awamu hadi miezi 24 Wasiliana nasi: 📞+255 748 303 601 Ofisi zipo
📍Makumbusho jengo la Dermplaza floor ya 11
🍀Usikae pembeni ukiangalia wengine wakipiga hatua… huu ni wakati wako wa kung’ara!
Anza sasa, usichukulie poa — faidika milele 🔥
#MwanamkeImara #MilikiArdhi #UwekezajiSalama #MaishaBora #AnzaSasa PlotsForSale SmartInvestment















