Residential Plots for Sale in Kimbiji Kwa Chale, Dar Es Salaam

Type
Residential Plot
Installment
Available
Amenities
Description
🏡 Karibu Uwekeze Kigamboni Kimbiji Kwa Chale!
Je, unatafuta eneo sahihi la kujenga nyumba yako au kufanya uwekezaji wenye tija? Kimbiji Kwa Chale ndiyo mahali sahihi kwako.
✅ Eneo linalokua kwa kasi
✅ Miundombinu inaendelea kuimarika
✅ Linafaa kwa makazi na uwekezaji
✅ Malipo ya Cash 20,000 kwa sqm
na 25,000 kwa Installment
Usikose fursa ya kumiliki kiwanja katika moja ya maeneo yenye thamani kubwa ya baadaye Kigamboni.
📞 0761444564 Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi.
#Kigamboni #KimbijiKwaChale #Ardhi #Viwanja #Uwekezaji OasisRealEstate RealEstateTZ















