Search

Residential Plots for Sale in Kiromo, Pwani (400 sqm)

video thumbnail
Kiromo, Pwani
2 days ago
Sh. 18,000/sqm

Description

📍BAGAMOYO KIROMO 🔥🏡

Pata kiwanja katika mradi wetu Mpya wa Kiromo Smart City - Bagamoyo📍moja ya maeneo yanayokua kwa kasi na yenye thamani kubwa ya uwekezaji 🌊📈

💰BEI💰

💰 MFANO WA BEI: SQM 400
CASH: Tsh 18,000/SQM
400 x 18,000 =7,200,000/=
✅Lipa Tsh 2,400,000/= Kwa Miezi 3

💳 INSTALLMENT: Tsh 20,000/SQM
Tsh 20,000 kwa SQM
400 x 20,000= 8,000,000/=
✅Lipa kidogo kidogo kila mwezi Tsh 400,000/= Kwa Miezi 20

⏳ Viwanja ni vichache, wahi kabla bei haijapanda.

☎️0675557452