Plots for sale in Kisarawe II, Dar Es Salaam
Installment
Available
Amenities
Description
🏡 MRADI WA VIWANJA – KISARAWE II 🏡
Je, unatafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga au uwekezaji? Huu ndio wakati wako!
✅ Bei ya kuanzia Tsh 30,000 kwa sqm (malipo ya papo kwa papo)
✅ Tsh 35,000 kwa sqm kwa mkopo
✅ Unapata Hati ya Umiliki kutoka Wizara
✅ Eneo lipo karibu na Dar Zoo
✅ Linafikika kwa urahisi na linaendelea kukua kwa kasi
Usisubiri bei zipande kesho. Wekeza leo kwenye eneo lenye uhakika wa umiliki na thamani inayoongezeka kila siku.
📞 Sam:
Karibu utembelee eneo na ujionee mwenyewe kabla hujafanya maamuzi. 🔑🌿 #maamuziyako #maamuzillac #fyp #fypシ゚viralシ #fypシ゚viralシfypシ゚















