Residential Plots for Sale in Kisemvule, Pwani

Description
Watu wengi wanandoto ya kujenga nyumba zao lakini changamoto kubwa huwa “nisubiri nipate pesa nyingi kwanza ndio nianze”
Kusubiri kunaweza kuchelewesha zaidi kuliko unavyofikiria.
Ujenzi wa awamu ndio njia watu wengi wenye kipato cha kawaida hutumia kufanikisha ndoto zao
ANZA LEO
Kumbuka tunauza viwanja vizuri kisemvule bei Tsh 1,600,000 tu
0785367831 calla/ whatsapp












