Search

Residential Plots for Sale in Ntyuka, Dodoma

 media -1
media -1
Ntyuka, Dodoma
22 days ago
Sh. 9,000/sqm

Description

📍NTYUKA-Dodoma
BLOCK-AL

Bei ni TSH 9,000 tu kwa SQM 1

✅ Lipa kwa awamu hadi miezi 10

✅ Kianzio ni TSH 1,500,000.tu

📍 Vipo umbali wa KM 10 tu kutoka Dodoma Mjini.

Vimepangwa na kufuatana vizuri kama unavyoona kwenye ramani,

🌄 Mradi upo juu ya mwinuko, ukiwa hapo unapata mandhari nzuri na kuona eneo kubwa la Ntyuka kwa ukaribu zaidi – sehemu tulivu, yenye hewa safi na inayokua kwa kasi.

✅️ panafikika

✅️panafaa kwa makazi na uwekezaji

karibuni sana MARKLAND PROFESSIONALS & REAL ESTATE CO. LTD – your Trusted Land Experts
.
🏡📞 Tupigie au tutumie ujumbe kwa mdaada zaidi Au

Tembelea office zetu zilizopo 📍 Mtendeni Street in Zahir Restaurant Block, Opposite na Maisha club

#chidachintyuka #dodomaviwanja #fyp #overall #lipakwaawamu

Markland Professionals & Real Estate Co. Ltd

mark_land_and_real_estate

@mark_land_and_real_estate

View Listings

Similar properties in Ntyuka, Dodoma

Markland Professionals & Real Estate Co. Ltd