Search

Residential Plots for Sale in Ntyuka, Dodoma

 media -1
media -1
Ntyuka, Dodoma
7 hours ago
Sh. 9,000/sqm

Description

🌾 KARIBU MARKLAND PROFESSIONALS &REAL ESTATE, KUELEKEA SIKUKUU YA NANE NANE! 🥳

Msimu huu wa Nane Nane ni wakati sahihi wa kufanya uamuzi wa kuwekeza kwenye ardhi.

Tunakukaribisha kutembelea Mradi wa Viwanja – Ntyuka, Dodoma,

uliopo Km 6–10 tu kutoka Dodoma Mjini.

✅ Bei kuanzia TSH 9,000 @ SQM

✅ Viwanja vinavyofaa kwa makazi, biashara na uwekezaji

✅ Eneo linaendelea kukua kwa kasi na lina fursa kubwa ya kuongeza thamani ya uwekezaji wako.

Karibu Markland Professionals tukusaidie kutimiza ndoto yako ya kumiliki ardhi 📍DODOMA

📞 +255 681 904 388

Au Tembelea office zetu zilizopo 📍 Mtendeni Street in Zahir Restaurant Block, Opposite na Maisha club.

#NaneNane2026 #MarklandProfessionals #NtyukaDodoma #ViwanjaVinauzwa #Uwekezaji Makazi Biashara Dodoma ArdhiNiMtaji