Search

Residential Plots for Sale in Ntyuka, Dodoma

 media -1
media -1
media -2
Ntyuka, Dodoma
8 hours ago
Sh. 12,000/sqm

Description

📍UKIFIKA NTYUKA LEO, UTAELEWA KWA NINI WATU WENGI WANACHAGUA ENEO HILI! 🏡✨

KM 7 -10tu kutoka Dodoma Mjini

💰 Bei: TSh 12,000 kwa SQM[Instalment miezi 3-6]
Tsh 9000 kwa SQM[Instalment hadi miezi 10 kwa kianzio cha Tsh 1,500,000 ]

✅️ process ya hati miliki ni bure

Dodoma inaendelea kukua kwa kasi, na Ntyuka ni moja ya maeneo yanayovutia kwa makazi na uwekezaji kwa sasa,

Kama unatafuta sehemu ya kuanza kujenga au kuwekeza, karibu MARKLAND PROFESSIONALS & REAL ESTATE CO. LTD

Kwa nini Ntyuka?

🏘️ Eneo linaendelea kukua kwa kasi
🛣️ Miundombinu inaendelea kuimarika
⚡ Umeme unapatikana
💧 Huduma za maji zinaendelea kusambaa
🏫 Karibu na huduma muhimu za kijamii
📈 Eneo zuri kwa makazi na uwekezaji wa muda mrefu

📲 0681 904 388

Au Tembelea office zetu zilizopo 📍 Mtendeni Street in Zahir Restaurant Block, Opposite na Maisha club

#ViwanjaDodoma #Ntyuka #Dodoma #MarklandProfessionals #Uwekezaji Makazi