Warehouse/Godown for Rent in Pugu Kona, Dar Es Salaam

Type
Warehouse
Plot Size
200 SQM
Amenities
Description
GO-DOWN SQM.200 LINAPANGISHWA TSHS.800,000/MWEZI,PUGU-KONA.
Lipo ndani ya Fensi.
Kuna Umeme wa 3-Phase (Mkubwa)
Na linaangalia Barabara ya Lami
Wahi njoo Uweke:
●Karakana ya Uzalishashi Bidhaa za Vyuma (Welding)
●Uchongaji na Uidhaji wa Samani (Furniture)
●Hifadhi Bighaa/Mali zako za aina yoyote
●Uzalishaji wa kati wa Bidhaa
●Gereji nk.
PUGU ipo Ilala,
Ni Mjini Dar na Usafiri upo Muda wote.
__________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni Kodi ya Mwezi mmoja.
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
__________________tP















