Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Madukani, Dodoma







NYUMBA INAPANGISHWA MBEZI MWISHO-MADUKANI
Vyumba 3 vya kulala 2 ni master bedrooms, sebule dinning jiko kubwa liblary na na public toilet
Kodi 450,000 kwa mwezi × 4
Inajitegemea geti lake, umeme,maji na umeme
Kutoka Mbezi mwisho KM 2 Boda 1000
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 20,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347






