Shamba linauzwa Kibaha, Pwani


Shamba la ekari moja na nusu linauzwa Kibaha-Pwani. Lina mabanda matatu, nyumba za kuishi 2, stoo kubwa 1, greenhouse 1, miti ya matunda na bustani kubwa. Linauzwa kwa Tsh milioni 220. Ukitaka kuliona wasiliana nami na gharama ya kwenda kuliona ni Tsh 50,000 kutoka Kibaha. Umbali kutoka morogoro road ni 2km. Piga 0794935203.


















