Shamba linauzwa Mkuranga, Pwani

 media -1
media -1
Sh. 50,000
Installment Allowed
Agriculture

SHAMBA-ASILI-ZURI, EKARI 10,TSHS.60 MILIONI,KIIMBWANINDI,MKURANGA.

Ni Shamba PORI lenye Rutuba ya Asili.
Lipo baada ya Kijiji cha MWALUSEMBE.
Umbali wa kilomita 4 tu kutoka
Barabara ya KILWA/KUSINI.
Ni Safari ya kilomita 80 kutoka Dar Mjini.

SHAMBA LINAHITAJI KUSAFISHWA.
Ndani yake kuna Mikorosho-Mikongwe kadhaa.

Eneo lake limezingirwa na Wawekezaji wakubwa.
Ardhi yake ni Rafiki kwa Mazao ya aina kadhaa.
Karibia ili uje ujionee wenzako.

Kilimo,Ufugaji au Uzalishaji hapa patakufaa.

Nakushauri uwahi usijekujutia.
Ewe Muwekezaji,Mstahafu au
MfanyiBiashara kumbuka Ardhi haiozi.

Umiliki MKATABA WA MAUZIANO.

_____________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.

+255 714 591 548

______________slma

Similar items by location

Shamba linauzwa Mkuranga, Pwani
  • Agriculture

Sh. 50,000

SHAMBA-ASILI-ZURI, EKARI 10,TSHS.60 MILIONI,KIIMBWANINDI,MKURANGA.Ni Shamba PORI lenye Rutuba ya Asi...

Viwanja vinauzwa Mkuranga, Pwani
  • Project

Sh. 14,000,000

Swali? Mashamba yanapatikana wapi?Jibu: lake manzi inapatikana mkuranga, mwarusembe na kimanzichana ...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 3,500,000

Kiwanda kipo kisemvule mkuranga ukubwa ekar 3 kiwanda kinatengeneza plastic pipe bei dolla 3.5mlSer...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 25,000,000

Eneo linauzwa limepakana na ZIWA MANSI LINAOPATIKANA MKURANGA MWARUSEMBE…Ukubwa wa eneo ni heka 1.5...

Sh. 250,000,000

Nyumba ya vyumba vinne inauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 100,000

Shamba lipo Mkoa wa pwani wilaya ya Mkuranga, Kijiji kilimahewa kusini linauzwaUkubwa wa shamba ekar...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 30,000

Eneo linauzwa limepakana na ZIWA MANSI LINAOPATIKANA MKURANGA MWARUSEMBE…Ukubwa wa eneo ni heka 2 n...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 30,000

Eneo linauzwa limepakana na ZIWA MANSI LINAOPATIKANA MKURANGA MWARUSEMBE…Ukubwa wa eneo ni heka 2 n...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani
  • By Installment

Sh. 70,000

NEW PROJECT ✨️✨️✨️MKURANGA ✅️ Kiwanja ni Elfu 70,000 tu✅️ Malipo ni miezi 10, Lipa  kidogo kidogo ki...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Pwani

Sh. 70,000,000

Eneo linapakana na staff Quarters za watumishi wa DED, tambarare Kiwanja kinauzwa Location MkurangaE...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mkuranga, Pwani
  • Project

Sh. 250,000,000

SHAMBA LINAUZWA BINAFSILINA EKARI 10LIPO MKURANGA KITUMBO MKOA WA PWANINDANI KUNA NYUMBA KUBWA NA VI...

Kiwanja kinauzwa Mkuranga, Mkuranga, Pwani
  • 1acre

Sh. 60,000,000

-Heka 1 -Mita 50 toka barabara inayoweka lami -km 2.5 toka barabara kuu ya kilwa road -Kiwanja kipo ...