House for rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 3) KIMARA STOP OVER DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT MPYA KABISA ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHUMBA CHA KULALA
#CHOO CHA WAGENI NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI FENSI NDIO INAJENGWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA STOP OVER DK 8 KWA MIGUU NJIA YA ZEGE BAJAJI 500 UKISHUKA TU UNAGONGA HODI NYUMBANI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 3 TU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
Contact:
0654101710
0787205300