House for rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment Kali Sana Inapangishwa
Mahali: Mbezi Massana Njia Ya Goba
Bei: 600,000 Kwa Mwezi
Malipo: Miezi 6
☑️Vyumba Viwili, Kimojawapo Ni Master
☑️Sebule, Jiko & Choo
☑️Fensi Ya Umeme
☑️Parking
☑️Inajitegemea Umeme & Maji
☑️Heater
☑️Reserve Tank
☑️Dawasa Maji 24/7
Gharama Ya Kuoneshwa Ni 30,000/= (Inalipwa Mara Moja Na Itadumu Mpaka Upate)
Bila Kusahau Malipo Ya Mwezi Mmoja Wa dalalimastertz
Whatsapp: 0764486945
Call: 0682699988 / 0622651649
Viwanja Na Ofisi Zinapatikana Kwa Size Zote. Karibuni Sana Wateja Wangu🙏
#DalaliMasterTz #MasterMijengo