House for sale at Mawasiliano, Morogoro


*KABLA YA KUANZA UJENZI SOMA HAYA MAELEZO KUHUSU MAKADIRIO UTANISHUKURU BAADAE*
Katika Post hii blchomes tunakuelezea vitu vya kuzingatia unapofanya bajeti yako ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya ujenzi, iwe plumbing, wiring, skimming, tiles n.k ⬇️
Usisahau kusave post hii kwani itakusaidia baadae kwa sababu asilimia kubwa ya kazi za ujenzi zinasimama au kuishiaa katikati kwa kukwama hapa
🔰... *Tiririka nayo*⤵️ ➡️
Ukishapewa makadirio ya ujenzi na fundi wako, kitu ambacho inabidi ukiweke kichwani ni kwamba, shughuli za ujenzi zinakubwa na mabadiriko/changamoto nyingi ambazo zitahitaji hela ya ziada ukitoa ile ya makadirio uliyopewa na fundi.
➡️ Changamoto au mabadiriko hayo ni kama vile hali ya hewa(mvua), mabadiriko ya bei ya materials kukosewa kwa makadirio, kuharibika kwa materials katika usafirishaji au utunzaji n.k.
Mabadiriko au Changamoto hizi zote zitahitaji fedha ambazo mara nyingi hazipo kwenye Makadirio ya awali uliyopewa
➡️ Kipi unatakiwa kufanya ukipewa makadirio na fundi ili usikwame? ⬇️ ➡️
Hakikisha makadirio yoyote unayopewa ongeza asilimia 10 mpaka 20 ya ile hesabu uliyopewa ili kuepukana na hizo changamoto.
➡️ Kwa mfano makadirio ni Tsh 2,000,000/= materials pamoja na ufundi .
Basi kabla ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya kuendeleza jengo basi hakikisha una kiasi kisichopungua Tsh 2,200,000. Hii 200,000 ya ziada itasaidia pale changamoto au mabadiriko ya bei yanapoibuka.
Blchomes tunaendelea kufanya ujenzi kuchora ramani na tunakusaidia kufanya makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yako au jengo lolote
Umeipenda post hii?
Basi like na kushare kwa marafiki ambao unahisi itawasaidia.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie au WhatsApp number 0742892195
#ujenzinafuu#ujenziwqnyumba#ujenzighorofa#building#siteprogress#kujenga#3bedrooms#4bedrooms#3bedrooms#ujenzinafuu#ujenzidaressalaam#nyumbazakisasa#nyumbanzurisinza