Nyumba inauzwa Mawasiliano, Morogoro

 media -1
media -1
Sh. 200,000

*KABLA YA KUANZA UJENZI SOMA HAYA MAELEZO KUHUSU MAKADIRIO UTANISHUKURU BAADAE*

Katika Post hii blchomes tunakuelezea vitu vya kuzingatia unapofanya bajeti yako ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya ujenzi, iwe plumbing, wiring, skimming, tiles n.k ⬇️

Usisahau kusave post hii kwani itakusaidia baadae kwa sababu asilimia kubwa ya kazi za ujenzi zinasimama au kuishiaa katikati kwa kukwama hapa

🔰... *Tiririka nayo*⤵️ ➡️

Ukishapewa makadirio ya ujenzi na fundi wako, kitu ambacho inabidi ukiweke kichwani ni kwamba, shughuli za ujenzi zinakubwa na mabadiriko/changamoto nyingi ambazo zitahitaji hela ya ziada ukitoa ile ya makadirio uliyopewa na fundi.

➡️ Changamoto au mabadiriko hayo ni kama vile hali ya hewa(mvua), mabadiriko ya bei ya materials kukosewa kwa makadirio, kuharibika kwa materials katika usafirishaji au utunzaji n.k.

Mabadiriko au Changamoto hizi zote zitahitaji fedha ambazo mara nyingi hazipo kwenye Makadirio ya awali uliyopewa

➡️ Kipi unatakiwa kufanya ukipewa makadirio na fundi ili usikwame? ⬇️ ➡️

Hakikisha makadirio yoyote unayopewa ongeza asilimia 10 mpaka 20 ya ile hesabu uliyopewa ili kuepukana na hizo changamoto.

➡️ Kwa mfano makadirio ni Tsh 2,000,000/= materials pamoja na ufundi .

Basi kabla ya kuanza ujenzi au hatua yoyote ya kuendeleza jengo basi hakikisha una kiasi kisichopungua Tsh 2,200,000. Hii 200,000 ya ziada itasaidia pale changamoto au mabadiriko ya bei yanapoibuka.

Blchomes tunaendelea kufanya ujenzi kuchora ramani na tunakusaidia kufanya makadirio ya gharama za ujenzi wa nyumba yako au jengo lolote

Umeipenda post hii?

Basi like na kushare kwa marafiki ambao unahisi itawasaidia.

Kwa mawasiliano zaidi tupigie au WhatsApp number 0742892195

#ujenzinafuu#ujenziwqnyumba#ujenzighorofa#building#siteprogress#kujenga#3bedrooms#4bedrooms#3bedrooms#ujenzinafuu#ujenzidaressalaam#nyumbazakisasa#nyumbanzurisinza

real estate company _ Tanzania
blchomes_
real estate company _ Tanzania

Similar items by location

Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 150,000

NYUMBA NZURI YA KUPANGA 150K X4,5,6KODI LAKI MOJA NA NUSU MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA KIMARA ...

Nyumba inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 150,000

NYUMBA NZURI YA KUPANGA 150K X4,5,6KODI LAKI MOJA NA NUSU MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA KIMARA ...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 250,000

MAISHA MSELELEKO APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 4 TOKA MOROGORO ROAD BEI NI 250,000/=X...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 500,000

#VYUMBA_VIWILI VYA_KULALA#INAPANGISHWA#APARTMENT#IKO-DAR-ES-SALAAM TzMAHALI- #KIMARA_MWISHO ———————...

Nyumba/Apartment ya vyumba viwili inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

*🔥🏃🏻‍♂️APARTMENT NZURI SANA ZA KISASA KABISA**INAPANGISHWA* *MBEZI MSUGURI 💥 *KODI YAKE 300K X 6...

Nyumba/Apartment inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6 💥 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 09/06/2025...

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6 ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 04/06/2025 KU...

Sh. 400,000

APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA STOP OVER UMBALI WA DK 8 KUTOKA MOROGORO ROAD. ZIPO APARTMENTS M...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 600,000

NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA DK 10 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGW...

Viwanja vinauzwa Mawasiliano, Morogoro
  • Project

Sh. 50,000 per sqm

MRADI WA VIWANJA VYA BAHARINIIT'S A BEACH PLOTSVIWANJA A.NI VILE AMBAVYO NI BAHARINI KABISAUKUBWA WA...

Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 120,000,000

KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA CHIDACHI EXTENSION/JIRANI NA SGR JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 1,000 ...

Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 35,000,000

KIWANJA KINAUZWA NZUĢUNI BLOCK AP JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 935 sq.mKina HATIKipo sehemu nzuri san...

Kiwanja kinauzwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 460,000,000

KIWANJA CHA KWANZA LAMI KINAUZWA STAND YA NANE NANE (88) JIJINI DODOMAEneo ukubwa ni 5,900 sq.mCha k...

Nyumba/Apartment ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 20,000

APARTMENT NZURI NA YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO 3 KWENYE FENSI MOJABei:300,000/ Per MonthPayment Term...

Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa Mawasiliano, Morogoro

Sh. 1,000,000

STAND ALONE @inapangishwa @Bei milioni 1,000,000 kwa mwez@Malipo miez 6 na dalali 7@Ni nyumba ya vyu...