1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







300,000 x6. 0759151524
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 12
KUTOKA STEND STOP OVER PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba ina vyumba viwilli vya kulala chumba kimoja ni master bedroom na pabrck ya ndani ipo Sebule kubwa sana na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana kwa watoto
Piya gari rinafika vizuri sanaa
KODI YA PANGO
________________
kwa mwezi ni laki tatu tuu/=
(300,000)
X6
CALL
CALL
0679 956 863
0759151524
0781 418 437