1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI YA KUPANGA 200K X6
ISIPUNGUE HAPA KODI NI LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA
NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 10 KWA MIGUU
SIFA ZAKE
#CHUMBA KIMOJA
#SEBULE
#PUBLIC TOILET NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK FULL CAMERA HUMU NDANI FENI CHUMBA NA SEBULE
#UMEME UNAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA YAKO YANAFLOW NDANI
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA