1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
MPYAA MPYAA MPYAA KABISA UNAZINDUA MWENYEWE 160K X6
ILIPWE LAKI MOJA NA SITINI MALIPO YA MIEZI SITA ISIPUNGUE HAPA
SIFA ZAKE
*CHUMBA KIMOJA MASTER
*JIKO
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM FENCE INAJENGWA FULL PEVING BLOCK 🚫 ZINAWEKWA
NYUMBA IPO KIMARA KOROGWE KWA MKUWA USAFIRI BAJAJI DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA 15,000 MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA0677370515