2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI MSELELEKO KABISA
KODI 250,000 × 6
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA #VYUMBA VYOTE NI MASTER BEDROOM
#JIKO KUBWA SANA
#LUKU Na METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING SPACE AVAILABLE
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
For More informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp