1 Bedrooms House for Rent at Mbagala Kuu, Dar Es Salaam
NYUMBA YA BIASHARA (APARTMENT 8 MADUKA 8) TSHS.220 MIL MBAGALA KUU.
Kitega Uchumi kisichopasua kichwa ndio hiki sasa.
Nyumba inaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa.
Apartment 4 za Chumba 1, Sebule na Jiko la wazi.
Apartment 4 ni za Chumba 1 tu na Choo chake kila moja.
Na Maduka jumla yapo 8.
Makusanyo ya Kodi jumla ni Tshs.1,480,000 kila Mwezi.
____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714591548
____________mpg/jgm
Ukihitaji kuikagua taarifa mapema tafadhali.