Plot for sale at Mbagala Kuu, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa
Ipo mbagala kuu
Nyumba ni kubwa na ya kisasa
Ipo barabarani kama inavyoonekana
Ina vyumba vinne, Kimoja ni master,
Sebule kubwa, dinning na stoo.
Mbele ina frem mbili.
Nyumba ipo ndani ya fence.
Eneo lake ni kubwa 464 Sqm.
Mmiliki mmoja,
Ina leseni ya makazi ya municipal.
Bei mil 75 tu.
Maongezi mnakaa mezani.
Mawasiliano 👇
➡️☎️0679 077638