1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
HII SIYO YAKUKOSA
MASTER KUBWA NZULI
INAPANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI
# NI CHUMBA KIMOJA KIKUBWA
# JIKO NDANI
# CHOO NDANI
# UMEME UNAJITEGEA
# MAJI MUNACHANGIA BIRI2
NYUMBA IPO NDANI YA FENCE
BEI NI 150,000/=6 ILIPWE LAKIMMOJA NA NUSU KODI YA MIEZI SITA
KUTOKA MOROGORO DOUD KM 1
USAFILI UPO
BAJAJI 700
BODA 1000
UKIISHUKA KWEYE BAJAJI UNATEMBEADAKIKA3
KUJAKUONA NYUMBA NI ELFU 15
UKIIPENDA UTAMRIPA DALALI PESA YA MWEZI MMOJA
CONT
0683234124
0718367179