1 Bedrooms House for Rent at Rau, Kilimanjaro
FULL FANISHED/APARTMENT NZURI YA KISASA
ENEO: RAU
YENYE
Chumba kimoja maste 🚻 sebule na jiko.
dakika chache kufika kwenye nyumba
nyumba ipo ndani ya uzio
car 🚗 parking space na Garden ipo kubwa
umeme upo maji yapo ya bomba 24hrs
MALIPO: 250,000 KWA MWEZI.
PAMOJA NA MALIPO YA KODI YA MWEZI 1.WA dalali.
N:B GHARAMA ZA KUONA NYUMBA NI 10,000 TSHS/ Service charge.
MAWASILIANO 📞 📲 what'sApp +255625369161