House for rent at Rau, Kilimanjaro
NYUMBA IPO RAU
Nyumba Ina vyumba vi 2
Vyumba vyote ni Master, jiko, pamoja na sebule.
Bei: Nyumba inapangishwa 450,000 kwa mwezi.
Note: Maongezi yapo mpaka 400,000
Malipo: tunapokea kwa miezi mi 3, au zaidi.
Note: Nyumba ina uzio wa Ukuta na gate.
Pia nyumba haijitegemei, Bali zipo apartments Mbili, na double self 1+ Single self 1
Mawasiliano yangu: 0625369161+
WhatsApp
Note: Usalama 100%
Pia Kuna Gharama za kuonyeshwa nyumba ambazo ni 10,000. Endapo utaridhia nyumba na kuwa tayari kulipia wewe utalipia pesa ya udalali ya mwezi mmoja.
#dalali_moshi_kilimanjaro #moshi #moshikilimanjaro #kilimanjaro #kili #arusha #dar #renthouse #moshiairbnb #airbnb