1 Bedrooms House for sale at Kilimanjaro


LENGA KUNUNUA MAENEO AMBAYO KWA SASA BADO YANAITWA USWAHILINI, LKN NDIKO KASI YA KUNUNUA NA KUJENGA NYUMBA ZA KISASA INAFANYIKA..
MAENEO KAMA
1. MAENEO KADHAA YA KINONDONI
2. MABIBO..
3. TANDALE
4. MIKOCHEN A NK
MAENEO HAYA BEI BADO SIO KUBWA ILA VYUMBA/VYUMBA VYA KUPANGA NI BEI GHALI...MFANO CHUMBA KIMOJA SELF KINAWEZA KUPANGISHWA KATI YA LAKI 2-3...
MAENEO MENGI NI NYUMBA ZA KUVUNJA, LKN ZIPO ZA KUKARABATI PIA...
TUNAZO NYINGI SANA KWANZIA MIL 30, 40, 50, 60 NA KUENDELEA KUTOKANA NA KILIVYOKAA NA SIZE ZAKE NI SQM 200 KUENDELEA...
SIO WAKATI WOTE NAWEZA KUPOST KAZI ZOTE, SO KAMA UPO INTERESTED NICHEK TUZUNGUMZE.....
CONT WHATSAPP +255 658582977 CALL +255 784919453
KUJIUNGA NA GROUP LETU LA WHATSAP BONYEZA HAPA 👇 https://chat.whatsapp.com/BLDVlGxAuXH2z2p5y9u9fq
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
#regrann #nyumbazakisasa #nyumbanichoo #nyumbanzuri #auction #dalaliwanyumba #viwanja #mashamba #plot #kiwanja #cloudstv #nyumbanafuu #nyumbayakupanga #nyumbayangu #nyumbadareslaam #clouds #maishaninyumba
#daressalaam #wemasepetu #mwanza #kilimanjaro #nyumba #magari #tanzania #biashara #bongo #kariakoo #business #home #houseforsale