1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO
UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI USAFIRI UPO WA UHAKIKA BAJAJI 700 UKISHUKA DK 4 UPO NYUMBANI
✔️SEBULE KUBWA
✔️CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
✔️JIKO KUBWA ZURI LENYE MAKABATI
✔️PUBLIC TOILET NZUR YA NJE
✔️TIRES, GYPSUM Na SLIDE WINDOWS
✔️LUKU YAKO
✔️MAJI METER YAKO
✔️DAWASA YANAFLOW NDANI 24HRS
✔️NDANI YA FENCE
✔️PARKING SPACE KUBWA 🚘
✔️PAVING BLOCK SAFI 🚫
✔️MAZINGIRA MAZURI SANA NA TULIVU
KODI NI 230,000 × 4/5/6
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
.
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp