1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI KABISA ZINAPANGISHWA 200K X6
YANI ULIPE LAKI MBILI MALIPO YA MIEZI SITA
MUUNDO
CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTERS NA SEBULE
LOCATION KIMARA KOROGWE KWA MKUWA KM 2.5 KUTOKA MOROGORO ROAD PIA UNAWEZA PITIA UBUNGO EXTRENAL UKAFIKA
SIFA ZAKE
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING YA GARI MOJA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA MAJI DAWASA YANAFLOW 24HRS
KUONESHWA NYUMBA 15K
MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI