2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
VYUMBA 2 VYA KULALA, VYOTE MASTER BEDROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
ZIKO 2 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA LUKU, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, NOAH, TAX700/=
KODI 350,000/= KWA MWEZI
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
WSP: 0659336751
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
WSP 0786085637