1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
PRICE: 250,000 × 6
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA MASTER
#JIKO KUBWA ZURI
#PUBLIC TOILET NZURI 🚻
#LUKU NA METER YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
ZIPO APARTMENT 2 TU KWENYE FENCE MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA SANA 🚘
💫💫APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODA
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp