1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Usafiri BAJAJ 500 Kutoka Stand ya Mwendokasi KOROGWE Ukishuka Kwenye BAJAJI unaingia ndani
𝙎𝙞𝙛𝙖 𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Chumba Kimoja cha Kulala Master Bedroom
• Sebule Kubwa
• Jiko la Kisasa
• Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 4 kwenye eneo moja na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani
𝙆𝙤𝙙𝙞 𝙠𝙬𝙖 𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤
Survey Charge ni 15,000
Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja
Contact:
0654101710
0787205300