Nyumba/Apartment ya chumba kimoja inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#๐๐ค๐๐๐ฉ๐๐ค๐ฃ: KIMARA KOROGWE KIRUNGULE
Usafiri BAJAJ 500 Kutoka Stand ya Mwendokasi KOROGWE Ukishuka Kwenye BAJAJI unaingia ndani
๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐
============
โข Chumba Kimoja cha Kulala Master Bedroom
โข Sebule Kubwa
โข Jiko la Kisasa
โข Public Toilet ya Wageni
Apartment zipo 4 kwenye eneo moja na kila Apartment inajitegemea LUKU Umeme na Maji DAWASA yanaflow ndani
๐๐ค๐๐ ๐ ๐ฌ๐ ๐๐ฌ๐๐ฏ๐ ๐ฃ๐ Tsh. 300,000/- Malipo Miezi 6
๐ผ๐ฃ๐๐๐ก๐๐ฏ๐ค
Survey Charge ni 15,000
Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja
Contact:
0654101710
0787205300