1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Apartment inapangishwa KIMARA STOP OVER dk5
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Jiko la kisasa ( Open kitchen)
Luku yako & Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking yakutosha
Kodi 270,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 3,4,5,6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Mr.