1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
🇹🇿#APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe, Dakika 15-18 Kutembea Kutoka Mwendokasi, Piki Piki ni 1000 tu.
#SIFAZAKE
💧Chumba kimoja master kikubwa
💧Sebule Kubwa
💧Umeme Sub-Meter Yake
💧Maji #Inajitegemea na yanaflow ndani
💧Fence, Na Parking Ipo kubwa
💧Zipo 4 Hapa, Moja hii Iko wazi
♦️Kodi Tsh 200,000/=×4( Miezi Minne)
♦️Malipo ya Dalali Tsh 200,000/=
♦️Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#please #Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊