1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
NEW APARTMENT FOR RENT
PIGA SIMU 0755831740
LOCATION
KIMARA SUKA UMBALI TOKA STAND YA MWENDOKASI AU MOROGORO ROAD NI DAKIKA 10
BEI NI 250,000/=X3 KUENDELEA
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
FENSI NA PARKING NI KUBWA
NOTE
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
PICHA ZA NDANI BADAE KWA SASA TUMIA HIZI ILA KAMA UNASUBIRI PICHA SASA WE SUBIRI PICHA WENZIO TUNAMALIZA