1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment Nzuri Inapangishwa
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU
Distance: KM 1 Kutoka Morogoro Road
Usafiri 24Hours Bajaji 500, Boda 1000
KODI 250,000 × 6
>Sebule Kubwa Sana
>Chumba Kimoja Kikubwa Master
>Jiko Kubwa Zuri
>Public Toilet Nzuri 🚻
>Inajitegemea UMEME
>Meter Yako Ya Maji Yanaflow Ndani 24HRS
>Reserve TANK
>Parking Space Available 🚗
>Good Environment 👍
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp