1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







Apartment inapangishwa UBUNGO KIBANGU
Nyumba itakuwa tayari baada ya week mbili
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Umeme wa luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Iko kwenye fenci
Usalama wakutosha
Kodi 150,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.